#MOYO CHORUS! Wimbo huu ni Maalum kwa Wapambanaji wote... Najua Maisha yana Mitihani Mingi, lakini Usikate tamaa na Amini kuwa Kuna siku Mwenyez Mungu nawe Atakufungulia #Moyo #DiamondPlatnumz #Wasafi
Sound Nyingi za kwenye page yangu zimekua zinatolewa pasipo kupata jibu la Msingi kutoka kwa Watu tuliowapa dhamana ya kudistribute kazi zetu (ZIIKI), inasikitisha kuona hawalichukulii kwa uzito jambo hili, ilhali Tiktok ni moja ya Misingi Mikuu ya kuwafikishia Mashabiki zetu nyimbo….Anyways ikiwa tunaendelea kulishughurikia hilo, kwa sasa pengine tujaribu kutumia Sound Hii… #MOYO #DiamondPlatnumz #Wasafi
#MOYO VERSE 2 Wimbo huu ni Maalum kwa wote tunaopambana Asiku na Mchana Kutafuta Riziki…Usikate Tamaa, Amini Kuna siku Mwenyez Mungu nawe Atakufungulia #DiamondPlatnumz #Wasafi